ZIFUATAZO NI BAADHI YA SABABU ZINAZOSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
· ZIFUATAZO NI BAADHI YA SABABU ZINAZOSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KWA WANAUME WALIO WENGI: ➢ Kufanya Punyeto kwa muda mrefu. Mtu anapopiga punyeto anakuwa anaiminya mishipa inayo sababisha kusimama kwa uume, baada ya muda fulani, mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea na hivyo linapo kuja suala la kusimamisha uume, mwanaume huyu anakuwa hana uwezo tena wa kusimamisha uume wake. ➢ Matumizi ya mara kwa mara ya madawa makali ya kuongeza nguvu za kiume (Hasa madawa ya kizu ngu). Madawa haya husababisha mishipa ya uume kulegea kwa sababu hui-overdose mishipa hiyo na kuilazimisha kufanya kazi zaidi ya kiwango chake. Matumizi haya yanapokuwa ya muda mrefu humfanya muhusika kuwa tegemezi na pia hufanya mishipa ya uume wa muhusika kulegea na kukosa nguvu. ➢ Ulaji wa vyakula vya mafuta kwa wingi kwa sababu huathiri moyo na mzunguko wa damu mwilini na hivyo uume kukosa msukumo wa damu wa kutosha katika mishipa yake ya damu. ➢ Presha na ugonjwa wa kisukari ➢ Uog...