KUONDOKANA NA UTOKWAJI WA UCHAFU KATIKA VIA VYA UZAZI VYA WANAWAKE


Image may contain: one or more people


KUONDOKANA NA UTOKWAJI WA UCHAFU KATIKA VIA VYA UZAZI VYA WANAWAKE
Jinsi ya kujitibu tatizo la utokwaji wa uchafu nyumbani kabla ya kutafuta tiba mahospitalini.
Kupunguza au kuacha kabisa kutumia sukari na vyakula/vinywaji vyote vyenye sukari kwa muda wa miezi miwili kwani fungus kama candida albicans hutumia sukari lkama chakula
Kutumia karafuu ya unga kwenye kikombe kimoja cha maji ya moto ma asubuhi na jioni kila siku kwa miezi miwili
Kutumia juisi ya karoti kila siku asubuhi na jioni glasi moja kwa miezi miwili
Kuacha kunywa maziwa kwa miezi miwili au zaidi
Kutumia mchuzi wa kabeji ambao hauna kiungo chochote kunawia katika via vya uzazi.
Muhimu. Mwanamke akifanya haya yote na bado haoni mafanikio, atafute tiba ya ziada haraka ili kuepuka ugumba.
Jinsi ya kujikinga
Kuvaa nguo za pamba na kuachana na za nailoni ambazo huleta joto jingi na unyevunyevu usiohitajika katika via vya uzazi.
Kujisafisha/kujichamba kutoka mbele kwenda nyuma na si nyuma kwenda mbele.
Kuachana na mafuta ya kulainisha kuta za uke bila kufuata ushauri mzuri wa daktari.
Kuacha kabisa kushiriki tendo kinyume na maumbile.
Kuepuka milo yenye mafuta na kupunguza ulaji wa nyama nyekundu.
Kuacha kushiriki tendo la ndoa hadi matibabu yakamilike na kwa mafanikio.
Usikune maeneo yanayowasha kwani waweza sababisha mwasho zaidi.
Nikukumbushe msomaji wangu kuwa kama unaziona dalili za ugonjwa huo na umejaribu kutumia matibabu mbalimbali bila mafanikio wasiliana nasi kwa ushauri
0658 521 921
0624 073 681

Comments

Popular posts from this blog

Ugumba ni nini ?

MAUMIVU WKATI WA TENDO LA NDOA

Hiii hali ya kukosa hedhi inayoweza kumtokea msichana