Posts

Showing posts from June, 2019

ZIFUATAZO NI BAADHI YA SABABU ZINAZOSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Image
·   ZIFUATAZO NI BAADHI YA SABABU ZINAZOSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KWA WANAUME WALIO WENGI: ➢ Kufanya Punyeto kwa muda mrefu. Mtu anapopiga punyeto anakuwa anaiminya mishipa inayo sababisha kusimama kwa uume, baada ya muda fulani, mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea na hivyo linapo kuja suala la kusimamisha uume, mwanaume huyu anakuwa hana uwezo tena wa kusimamisha uume wake. ➢ Matumizi ya mara kwa mara ya madawa makali ya kuongeza nguvu za kiume (Hasa madawa ya kizu ngu). Madawa haya husababisha mishipa ya uume kulegea kwa sababu hui-overdose mishipa hiyo na kuilazimisha kufanya kazi zaidi ya kiwango chake. Matumizi haya yanapokuwa ya muda mrefu humfanya muhusika kuwa tegemezi na pia hufanya mishipa ya uume wa muhusika kulegea na kukosa nguvu. ➢ Ulaji wa vyakula vya mafuta kwa wingi kwa sababu huathiri moyo na mzunguko wa damu mwilini na hivyo uume kukosa msukumo wa damu wa kutosha katika mishipa yake ya damu. ➢ Presha na ugonjwa wa kisukari ➢ Uog...

Hiii hali ya kukosa hedhi inayoweza kumtokea msichana

Image
Tatizo la kukosa hedhi ni jambo ambalo linawakumba wanawake wengi waliovunja ungo.Aidha suala hili limekuwa likiwaletea usumbufu mwingi wa kisaikolojia wanawake wengi waliowahi kukumbana nalo. Tatizo la kukosa hedhi au amenorrhea linaweza kutokea awali kabisa (primary) au baadaye kabisa maishani (secondary). Primary amenorrhea Hiii hali ya kukosa hedhi inayoweza kumtokea msichana aliye katika umri wa kuvunja ungo na ambayo huweza kuendana na hali ya kukosa mabadiliko ya kubalehe kama vile kuota matiti au nywele za kinena, au msichana anaweza kuwa na mabadiliko ya kubalehe lakini asipate hedhi. Secondary amenorrhea Hii hali ya kukosa hedhi inayomtokea mwanamke ambaye si mjamzito, hanyonyeshi, na ambaye hajavuka umri wa kukosa hedhi (menopause) na wala hatumii njia za uzazi wa mpango kama vile sindano au vidonge, na ambaye hapo awali alikuwa akipata hedhi kama kawaida lakini akasimama kwa miezi mitatu au zaidi. Mwanamke hupataje hedhi? Ili mwanamke aweze k...

MAUMIVU WKATI WA TENDO LA NDOA

Image
  MAUMIVU WKATI WA TENDO LA NDOA 1. KUVIMBA kwa kuta za uke kutokana na kushambuliwa na fangasi (candida Albicans) au bakteria. Kuta hizi huanza kuwa na vijitundu vidogo vidogo na kadiri muda unavyokwenda bila kutibiwa, vitundu hivi huongezeka ukubwa na kuwa kama vidonda na hatimaye kuta za uke kuanza kumomonyoka na hali hii huondoa kabisa hamu ya kushiriki tendo. 2. Matatizo ya shingo ya kizazi (cervical incompetence) kutokana na maambukizi ya fangasi maeneo hayo. Kutoka kwa m begu za kiume muda mfupi au saa kadhaa baada ya tendo ni dalili kuu ya tatizo hili. Pia mwanaume anapogonga shingo hii ya kizazi mwanamke huwa kama anatoneshwa kidonda. Hali hii ya mbegu kurudi nje husababisha mwanamke kutoshika ujauzito. 3. Kuwa na uvimbe kwenye mji wa mimba/mfuko wa uzazi (Uterus). Uvimbe huu kitaalam hujulikana kwa majina mengi lakini `fibroid` ni maarufu Zaidi. Huanza kama mbegu ndogo ya mchicha na hu kua kama boga kubwa. Mwanamke huongezeka ukubwa wa tumbo na...

KUONDOKANA NA UTOKWAJI WA UCHAFU KATIKA VIA VYA UZAZI VYA WANAWAKE

Image
KUONDOKANA NA UTOKWAJI WA UCHAFU KATIKA VIA VYA UZAZI VYA WANAWAKE Jinsi ya kujitibu tatizo la utokwaji wa uchafu nyumbani kabla ya kutafuta tiba mahospitalini. Kupunguza au kuacha kabisa kutumia sukari na vyakula/vinywaji vyote vyenye sukari kwa muda wa miezi miwili kwani fungus kama candida albicans hutumia sukari lkama chakula Kutumia karafuu ya unga kwenye kikombe kimoja cha maji ya moto ma asubuhi na jioni kila siku kwa miezi miwili Kutumia juisi ya karoti kila siku asub uhi na jioni glasi moja kwa miezi miwili Kuacha kunywa maziwa kwa miezi miwili au zaidi Kutumia mchuzi wa kabeji ambao hauna kiungo chochote kunawia katika via vya uzazi. Muhimu. Mwanamke akifanya haya yote na bado haoni mafanikio, atafute tiba ya ziada haraka ili kuepuka ugumba. Jinsi ya kujikinga Kuvaa nguo za pamba na kuachana na za nailoni ambazo huleta joto jingi na unyevunyevu usiohitajika katika via vya uzazi. Kujisafisha/kujichamba kutoka mbele kwenda nyuma na si nyuma kwenda mbele. Kuachana na mafuta ...