DALILI ZINAZOAMBATANA NA MWANAMKE KUKOSA HEDHI.

Napenda nikukumbushe msomaji kuwa kukosa hedhi siyo ugonjwa bali ni dalili ya kuwepo kwa tatizo au ugonjwa fulani katika mwili. Kulingana na ugonjwa unaosababisha tatizo hili, kukosa hedhi kunaweza kuambatana na mambo yafuatayo:-
• Matiti kutoa maziwa wakati mwanamke si mjamzito na wala hanyonyeshi, msomaji kama unaona matiti yako au ya mwenzi wako yanatoa maziwa wakati wewe au huyo mwenzi wako si mjamzito na hunyonyeshi tambua kuwa kuna tatizo katika mfumo wako wa uzazi na ni kiashiria cha kukokosa hedhi hivyo hatua za mapema zinapaswa kuchukuliwa.
• Mwanamke kuwa na nywele na vinyweleo vingi mwilini na kuota ndevu kama mwanaume hali inayoashiria kuwepo kwa wingi kwa homoni za kiume za androgen. Nitoe tahadhari hapa si kila mwenye vinyweleo vingi na ana ndevu basi anakosa hedhi si kweli lakini kama una dalili hizo na unakosa hedhi yako ya kila mwezi ni vema ukawaona matabibu mapema kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi na matibabu.
• Ukavu katika uke, kutoka jasho sana wakati wa usiku, au mabadiliko katika kupata usingizi vinaweza kuashiria matatizo katika ovary. Kama nilivyowaeleza katika Makala yaliyopita ikiwa kuna hitilafu katika ovary ni vigumu kwa mwanamke kupata hedhi na kushika ujauzito hivyo ni vema ukawaona matabibu.
• Kuongezeka uzito kupita kiasi au kupungua kwa uzito isivyo kawaida. Hii ni moja ya sababu kubwa au kiashirii kikubwa cha mwanamke husika ana matatizo katika mfumo wake wa hedhi.
Msomaji ni vema ukajua kuwa tatizo hili la hedhi kukoma haliwezi kukondoka lenyewe bila kufanya jitihada za matibabu ili uboreshe afya yako ya uzazi na uwe na uhakika wa kuwa na afya bora ya uzazi.
Ningependa pia wanawake ambao wanapata hedhi nyingi sana na wale wanapata hedhi kidogo sana pia wafanye jitihada za mapema kujua kuwa hayo ni mambao ambayo ni kikwako katika kuhakikissha unafurahia afya ya uzazi hivyo ni vema na wao wakawahi kutafuta ufumbuzi wa matatizo hayo.
Habari njema ni kwamba pamoja na matatizo haya kuwasumbua wanawake wengi kuna mimea tiba ambayo inaweza kuondosha kabisa matatizo haya. Lakini ili ujue tatizo lako ni vema ukawaona madaktari mapema ili ufanyiwe uchunguzi. Lakini pia unaweza kutupigia kwa ushauri

0658 521 921
0624 073 681

Comments
Post a Comment